Loecsen logo

初学者与旅行者必备英语词汇

1 - 主要的表达方式
汉语 斯瓦希里语
🔊 你好 🔊 Hujambo
🔊 你好 🔊 Mambo
🔊 晚上好 🔊 Habari za jioni
🔊 再见 🔊 Kwaheri
🔊 回头见 🔊 Tutaonana baadaye
🔊 是 🔊 Ndiyo
🔊 不是 🔊 Hapana
🔊 不好意思 🔊 Samahani!
🔊 我不懂 🔊 Sielewi
🔊 谢谢 🔊 Asante
🔊 非常感谢! 🔊 Asante sana!
🔊 谢谢您的帮助 🔊 Asante kwa msaada wako
🔊 没关系 🔊 Karibu
🔊 好 🔊 Sawa
🔊 我懂了 🔊 Nimeelewa
🔊 多少钱? 🔊 Bei gani?
🔊 对不起! 🔊 Samahani!
🔊 我不知道 🔊 Sijui
🔊 禁止 🔊 Imepigwa marufuku
🔊 请问洗手间在哪里? 🔊 Samahani, vyoo viko wapi tafadhali?
🔊 新年好! 🔊 Heri njema ya mwaka mpya!
🔊 生日快乐! 🔊 Heri ya siku ya kuzaliwa!
🔊 节日快乐! 🔊 Heri njema za sikukuu!
🔊 祝贺您! 🔊 Hongera!
2 - 对话
汉语 斯瓦希里语
🔊 你好。最近怎么样? 🔊 Hujambo. habari yako?
🔊 你好。最近怎么样? 🔊 Mambo! Habari yako?
🔊 我很好,谢谢。 🔊 Hujambo. niko mzima, asante
🔊 仅仅一点点 🔊 Kidogo tu
🔊 你来自哪个国家? 🔊 Unatoka nchi gani?
🔊 你持有哪国国籍? 🔊 Uraia wako ni wa nchi gani?
🔊 我是中国人 🔊 
🔊 你也住在这里吗? 🔊 Na wewe, unaishi hapa?
🔊 对,我住在这里 🔊 Ndiyo, ninaishi hapa
🔊 我叫萨拉,你呢? 🔊 Jina langu ni sarah, na wewe?
🔊 我叫朱力安 🔊 Julian
🔊 你在这里干什么? 🔊 Unafanya nini hapa?
🔊 我在休假 🔊 Niko likizoni
🔊 我们在休假 🔊 Tuko likizoni
🔊 我在出差 🔊 Niko kwenye safari ya kibiashara
🔊 我在这里工作 🔊 Ninafanya kazi hapa
🔊 我们在这里工作 🔊 Tunafanya kazi hapa
🔊 哪里有比较好的餐厅? 🔊 Ni maeneo gani mazuri ya kula?
🔊 附近有博物馆吗? 🔊 Kuna makumbusho katika jirani?
🔊 到哪里能上网? 🔊 Ni wapi ninaweza kupata muunganisho wa intaneti?
3 - 学习
汉语 斯瓦希里语
🔊 你想学一点词汇吗? 🔊 Je, ungependa kujifunza maneno machache?
🔊 好的! 🔊 Ndiyo, sawa!
🔊 这个怎么称呼? 🔊 Hii inaitwaje?
🔊 这是一张桌子 🔊 Hii ni meza
🔊 桌子,你懂吗? 🔊 Meza. unaelewa?
🔊 我不懂 🔊 Sielewi
🔊 请你重复一遍,好吗? 🔊 Unaweza kurudia tafadhali?
🔊 你能说得慢一点吗? 🔊 Tafadhali, unaweza kuzungumza polepole kidogo zaidi?
🔊 你能写下来吗? 🔊 Unaweza kuiandika, tafadhali?
🔊 我懂了 🔊 Nimeelewa
4 - 颜色
汉语 斯瓦希里语
🔊 我很喜欢这张桌子的颜色 🔊 Ninapenda rangi ya meza hii
🔊  🔊 Ninapenda rangi ya meza hii
🔊 这是红色的 🔊 Ni nyekundu
🔊 蓝色 🔊 Bluu
🔊 黄色 🔊 Njano
🔊 白色 🔊 Nyeupe
🔊 黑色 🔊 Nyeusi
🔊 绿色 🔊 Kijani
🔊 橙色 🔊 Orenji
🔊 紫色 🔊 Zambarau
🔊 灰色 🔊 Kijivu
5 - 数字
汉语 斯瓦希里语
🔊 零 🔊 Sifuri
🔊 一 🔊 Moja
🔊 二 🔊 Mbili
🔊 三 🔊 Tatu
🔊 四 🔊 Nne
🔊 五 🔊 Tano
🔊 六 🔊 Sita
🔊 七 🔊 Saba
🔊 八 🔊 Nane
🔊 九 🔊 Tisa
🔊 十 🔊 Kumi
🔊 十一 🔊 Kumi na moja
🔊 十二 🔊 Kumi na mbili
🔊 十三 🔊 Kumi na tatu
🔊 十四 🔊 Kumi na nne
🔊 十五 🔊 Kumi na tano
🔊 十六 🔊 Kumi na sita
🔊 十七 🔊 Kumi na saba
🔊 十八 🔊 Kumi na nane
🔊 十九 🔊 Kumi na tisa
🔊 二十 🔊 Ishirini
🔊 二十一 🔊 Ishirini na moja
🔊 二十二 🔊 Ishirini na mbili
🔊 二十三 🔊 Ishirini na tatu
🔊 二十四 🔊 Ishirini na nne
🔊 二十五 🔊 Ishirini na tano
🔊 二十六 🔊 Ishirini na sita
🔊 二十七 🔊 Ishirini na saba
🔊 二十八 🔊 Ishirini na nane
🔊 二十九 🔊 Ishirini na tisa
🔊 三十 🔊 Thelathini
🔊 三十一 🔊 Thelathini na moja
🔊 三十二 🔊 Thelathini na mbili
🔊 三十三 🔊 Thelathini na tatu
🔊 三十四 🔊 Thelathini na nne
🔊 三十五 🔊 Thelathini na tano
🔊 三十六 🔊 Thelathini na sita
🔊 四十 🔊 Arobaini
🔊 五十 🔊 Hamsini
🔊 六十 🔊 Sitini
🔊 七十 🔊 Sabini
🔊 八十 🔊 Themanini
🔊 九十 🔊 Tisini
🔊 一百 🔊 Mia moja
🔊 一百零五 🔊 Mia moja na tano
🔊 二百 🔊 Mia mbili
🔊 三百 🔊 Mia tatu
🔊 四百 🔊 Mia nne
🔊 一千 🔊 Elfu moja
🔊 一千五百 🔊 Elfu moja na mia tano
🔊 一千五百 🔊 Elfu moja na mia tano
🔊 二千 🔊 Elfu mbili
🔊 一万 🔊 Elfu kumi
6 - 时态参考标记
汉语 斯瓦希里语
🔊 你什么时候到的? 🔊 Ulifika hapa lini?
🔊 今天 🔊 Leo
🔊 昨天 🔊 Jana
🔊 两天前 🔊 Siku mbili zilizopita
🔊 你呆多久呢? 🔊 Unakaa kwa muda gani?
🔊 我明天走 🔊 Ninaondoka kesho
🔊 我后天走 🔊 Nitaondoka kesho kutwa
🔊 我三天后走 🔊 Nitaondoka baada ya siku tatu
🔊 星期一 🔊 Jumatatu
🔊 星期二 🔊 Jumanne
🔊 星期三 🔊 Jumatano
🔊 星期四 🔊 Alhamisi
🔊 星期五 🔊 Ijumaa
🔊 星期六 🔊 Jumamosi
🔊 星期天 🔊 Jumapili
🔊 1月 🔊 Januari
🔊 2月 🔊 Februari
🔊 3月 🔊 Machi
🔊 4月 🔊 Aprili
🔊 5月 🔊 Mei
🔊 6月 🔊 Juni
🔊 7月 🔊 Julai
🔊 8月 🔊 Agosti
🔊 9月 🔊 Septemba
🔊 10月 🔊 Oktoba
🔊 11月 🔊 Novemba
🔊 12月 🔊 Desemba
🔊 你几点出发? 🔊 Unaondoka saa ngapi?
🔊 早晨...八点 🔊 Asubuhi, saa mbili
🔊 早晨... 八点十五分 🔊 Asubuhi, saa mbili na robo
🔊 早晨... 八点三十分 🔊 Asubuhi, saa mbili na nusu
🔊 早晨... 八点四十五分 🔊 Asubuhi, saa tatu kasoro robo
🔊 晚上... 十八点 🔊 Jioni, saa kumi na mbili jioni
🔊 我迟到了 🔊 Nimechelewa
7 - 出租车
汉语 斯瓦希里语
🔊 出租车! 🔊 Teksi!
🔊 你到哪里去? 🔊 Ungependa kwenda wapi?
🔊 我去火车站 🔊 Ninaenda kwenye stesheni ya treni
🔊 我要去日夜旅馆 🔊 Naenda kwenye hoteli ya mchana na usiku
🔊 您能送我去机场吗? 🔊 Unaweza kunipeleka uwanja wa ndege, tafadhali?
🔊 您能帮我提行李吗? 🔊 Unaweza kuchukua mizigo yangu?
🔊 离这儿远吗? 🔊 Je, ni mbali kutoka hapa?
🔊 不远,就在旁边 🔊 Hapana, iko karibu
🔊 有一点儿远 🔊 Ndiyo, ni mbali kidogo zaidi
🔊 多少钱? 🔊 Itakuwa bei gani?
🔊 请送我去这里 🔊 Nipeleke huko, tafadhali
🔊 朝右边 🔊 Iko kulia
🔊 朝右边 🔊 Kuliani
🔊 朝左边 🔊 Iko kushoto
🔊 朝左边 🔊 Kushotoni
🔊 笔直走 🔊 Ni moja kwa moja
🔊 到了 🔊 Iko hapa
🔊 在那儿 🔊 Ni kule
🔊 停! 🔊 Simama!
🔊 慢慢来别着急 🔊 Chukua muda wako
🔊 您能给我开张发票吗? 🔊 Naweza kupata risiti, tafadhali?
8 - 家庭
汉语 斯瓦希里语
🔊 你这儿有亲戚吗? 🔊 Una familia hapa?
🔊 我的父亲 🔊 Baba yangu
🔊 我的母亲 🔊 Mama yangu
🔊 我的儿子 🔊 Mwanangu
🔊 我的女儿 🔊 Binti yangu
🔊 一个哥哥 🔊 Ndugu mmoja
🔊 一个姐姐 🔊 Dada mmoja
🔊 一个朋友 🔊 Rafiki mmoja
🔊 一个朋友 🔊 Rafiki wa kike
🔊 我的男朋友 🔊 Mpenzi wangu
🔊 我的女朋友 🔊 Mpenzi wangu
🔊 我的丈夫 🔊 Mume wangu
🔊 我的妻子 🔊 Mke wangu
9 - 情感
汉语 斯瓦希里语
🔊 我很喜欢你的国家 🔊 Ninapenda sana nchi yako
🔊 我喜欢你 🔊 Nakupenda
🔊 我很幸福 🔊 Nina furaha
🔊 我很难过 🔊 Nina huzuni
🔊 我在这里感觉很好 🔊 Ninajisikia vizuri hapa
🔊 我很冷 🔊 Nina baridi
🔊 我很热 🔊 Nina joto
🔊 太大了 🔊 Ni kubwa sana
🔊 太小了 🔊 Ni ndogo sana
🔊 非常好 🔊 Ni kamili
🔊 今晚你想出去吗? 🔊 Unataka kwenda nje usiku wa leo?
🔊 我今晚想出去 🔊 Ningependa kwenda nje usiku wa leo
🔊 这是个好主意 🔊 Ni wazo zuri
🔊 我想好好玩玩 🔊 Ninataka kujifurahisha
🔊 这不是个好主意 🔊 Si wazo zuri
🔊 今晚我不想出去 🔊 Sitaki kutoka nje leo usiku
🔊 我想休息 🔊 Ninataka kupumzika
🔊 你想做运动吗? 🔊 Ungependa kufanya mazoezi?
🔊 是的,我想好好放松一下! 🔊 Ndiyo, nahitaji kujivua hasira!
🔊 我打网球 🔊 Ninacheza tenisi
🔊 不,谢谢,我很累 🔊 Hapana asante, nimechoka sana
10 - 酒吧
汉语 斯瓦希里语
🔊 酒吧 🔊 Baa
🔊 你要不要喝点什么? 🔊 Ungependa kunywa kitu?
🔊 喝 🔊 Kunywa
🔊 杯子 🔊 Glasi
🔊 好的,谢谢 🔊 Kwa furaha
🔊 你喝什么? 🔊 Ungependa nini?
🔊 有些什么可以喝的? 🔊 Kuna nini cha kunywa?
🔊 有矿泉水,还有果汁 🔊 Kuna maji au juisi za matunda
🔊 水 🔊 Maji
🔊 能加点冰块吗? 🔊 Unaweza kuongeza vipande vya barafu, tafadhali?
🔊 冰块 🔊 Vipande vya barafu
🔊 巧克力 🔊 Chokoleti
🔊 牛奶 🔊 Maziwa
🔊 茶 🔊 Chai
🔊 咖啡 🔊 Kahawa
🔊 加糖 🔊 Na sukari
🔊 加奶油 🔊 Na krimu
🔊 葡萄酒 🔊 Divai
🔊 啤酒 🔊 Bia moja
🔊 请给我一杯茶 🔊 Chai tafadhali
🔊 请给我一杯啤酒 🔊 Naomba bia moja
🔊 您想要喝什么? 🔊 Ungependa kunywa nini?
🔊 请给我两杯茶 🔊 Chai mbili tafadhali!
🔊 请给我两杯啤酒 🔊 Bia mbili tafadhali
🔊 什么也不用,谢谢 🔊 Hakuna, asante
🔊 干杯 🔊 Afya yako
🔊 为健康干杯! 🔊 Afya!
🔊 我要买单 🔊 Tunaweza kupata bili tafadhali?
🔊 一共多少钱? 🔊 Samahani, niko na deni gani kwako?
🔊 二十欧元 🔊 Euro ishirini
🔊 我请你 🔊 Ni juu yangu
11 - 饭店
汉语 斯瓦希里语
🔊 餐馆 🔊 Mgahawa
🔊 你想吃点东西吗? 🔊 Unataka kula?
🔊 好啊! 🔊 Ndiyo, kwa furaha
🔊 吃饭 🔊 Kula
🔊 我们到哪里去吃饭? 🔊 Tunaweza kula wapi?
🔊 我们到哪里去吃午饭? 🔊 Tunaweza kula chakula cha mchana wapi?
🔊 晚餐 🔊 Chakula cha jioni
🔊 早餐 🔊 Kifungua kinywa
🔊 请给我菜单 🔊 Menyu, tafadhali
🔊 这是菜单! 🔊 Hii hapa menyu!
🔊 你喜欢吃什么?肉还是鱼? 🔊 Unapendelea kula nini, nyama au samaki?
🔊 再加饭 🔊 Na wali
🔊 再加意大利面 🔊 Na pasta
🔊 土豆 🔊 Viazi vya mviringo
🔊 蔬菜 🔊 Mboga
🔊 炒蛋-荷包蛋-还是白煮蛋? 🔊 Mayai ya kuchanganywa - mayai ya kukaangwa - au yai la kuchemshwa kiasi
🔊 面包 🔊 Mkate
🔊 黄油 🔊 Siagi
🔊 一份色拉 🔊 Saladi moja
🔊 一份甜点 🔊 Kitindamlo
🔊 水果 🔊 Matunda
🔊 请问您有刀吗? 🔊 Naweza kupata kisu, tafadhali?
🔊 请问您有刀吗? 🔊 Naweza kupata kisu, tafadhali?
🔊 有,我马上去拿 🔊 Ndiyo, nitakuletea mara moja
🔊 刀 🔊 Kisu
🔊 叉 🔊 Uma
🔊 勺子 🔊 Kijiko cha chakula
🔊 这是热菜吗? 🔊 Ni chakula cha moto?
🔊 是的,而且很辣! 🔊 Ndiyo, na pia ni kali sana!
🔊 热 🔊 Joto
🔊 冷 🔊 Baridi
🔊 辣 🔊 Kali
🔊 我要一份鱼! 🔊 Nitachukua samaki!
🔊 我也一样 🔊 Mimi pia
12 - 离开
汉语 斯瓦希里语
🔊 天晚了!我要走了! 🔊 Imechelewa, lazima niende!
🔊 我们能再见面吗? 🔊 Tutaonana tena?
🔊 当然,我非常愿意 🔊 Ndiyo, kwa furaha
🔊 这是我的住址 🔊 Ninaishi katika anwani hii
🔊 有没有电话号码? 🔊 Una nambari ya simu?
🔊 有,在这里 🔊 Ndiyo, hii hapa
🔊 和你过得非常愉快 🔊 Nimefurahia sana kuwa na wakati mzuri pamoja nawe
🔊 我也是,很高兴认识你 🔊 Mimi pia, ilifurahisha kukutana nawe
🔊 希望我们不久能再相见 🔊 Tutaonana hivi karibuni
🔊 我也希望是这样 🔊 Natumaini hivyo pia
🔊 再见! 🔊 Kwaheri
🔊 明天见! 🔊 Tutaonana kesho
🔊 再见! 🔊 Kwa heri!
13 - 交通
汉语 斯瓦希里语
🔊 对不起!你知道汽车站在哪里吗 🔊 Samahani! ninatafuta kituo cha basi
🔊 请问到太阳城的车票价格是多少? 🔊 Bei ya tikiti ya kwenda sun city ni kiasi gani tafadhali?
🔊 请问这列火车去什么地方? 🔊 Treni hii inaenda wapi, tafadhali?
🔊 这列火车在太阳城停吗? 🔊 Je, treni hii inasimama sun city?
🔊 去太阳城的火车什么时候开? 🔊 Treni ya kwenda sun city inaondoka lini?
🔊 去太阳城的火车什么时候到? 🔊 Treni ya jiji la jua inawasili lini?
🔊 我要一张去太阳城的票 🔊 Tiketi ya kwenda sun city, tafadhali
🔊 您有列车时刻表吗? 🔊 Je, una ratiba ya treni?
🔊 汽车时刻表 🔊 Ratiba ya mabasi
🔊 谢谢 🔊 Asante
🔊 请问哪列火车是去太阳城的? 🔊 Samahani, ni treni gani huenda sun city?
🔊 就是这列 🔊 Ni hiyo
🔊 不客气,祝您旅途愉快 🔊 Hakuna shida, uwe na safari njema!
🔊 修车库 🔊 Karakana ya ukarabati
🔊 加油站 🔊 Kituo cha mafuta
🔊 请给我油箱加满 🔊 Jaza tanki tafadhali
🔊 自行车 🔊 Baiskeli
🔊 市中心 🔊 Katikati ya mji
🔊 郊区 🔊 Kitongoji cha nje ya mji
🔊 这是个大城市 🔊 Ni mji mkubwa
🔊 这是个村庄 🔊 Ni kijiji
🔊 一座山 🔊 Mlima mmoja
🔊 一条湖 🔊 Ziwa moja
🔊 乡村 🔊 Mashambani
14 - 宾馆
汉语 斯瓦希里语
🔊 酒店 🔊 Hoteli
🔊 公寓 🔊 Ghorofa ya makazi
🔊 欢迎 🔊 Karibu!
🔊 您这儿有空房间吗? 🔊 Je, una chumba kinachopatikana?
🔊 房间带浴室吗? 🔊 Je, kuna bafu ndani ya chumba?
🔊 您更喜欢二张单人床吗? 🔊 Ungependa vitanda viwili vya mtu mmoja?
🔊 您想要双人房吗? 🔊 Je, ungependa chumba cha watu wawili?
🔊 房间带盆浴 - 带阳台- 带淋浴 🔊 Chumba chenye bafu - chenye balconi - chenye shawa
🔊 住宿加早餐 🔊 Chumba chenye kifungua kinywa
🔊 住一晚多少钱? 🔊 Ni bei gani kwa usiku mmoja?
🔊 我想先看看房间! 🔊 Ningependa kuona chumba kwanza tafadhali
🔊 当然可以! 🔊 Ndiyo, bila shaka!
🔊 谢谢。房间非常不错。 🔊 Asante. chumba ni kizuri sana
🔊 好,我能定今晚的房间吗? 🔊 Sawa, naweza kuweka nafasi kwa ajili ya leo usiku?
🔊 太贵了,谢谢。 🔊 Ni ghali kidogo sana kwangu, asante
🔊 请您照管一下我的行李,可以吗? 🔊 Unaweza kutunza mizigo yangu, tafadhali?
🔊 我的房间在哪里? 🔊 Chumba changu kiko wapi, tafadhali?
🔊 在二楼 🔊 Iko kwenye ghorofa ya kwanza
🔊 有电梯吗? 🔊 Kuna lifti?
🔊 电梯在您的左边 🔊 Lifti iko upande wako wa kushoto
🔊 电梯在您的右边 🔊 Lifti iko upande wako wa kulia
🔊 洗衣房在哪里? 🔊 Chumba cha kufulia kiko wapi, tafadhali?
🔊 在底楼 🔊 Iko kwenye ghorofa ya chini
🔊 底楼 🔊 Sakafu ya chini
🔊 房间 🔊 Chumba cha kulala
🔊 干洗店 🔊 Pressi
🔊 美发厅 🔊 Saluni ya nywele
🔊 停车场 🔊 Maegesho ya magari
🔊 我们在会议室见? 🔊 Tukutane katika chumba cha mikutano?
🔊 会议室 🔊 Chumba cha mikutano
🔊 游泳池的暖气开了 🔊 Bwawa la kuogelea lina joto
🔊 游泳池 🔊 Bwawa la kuogelea
🔊 请7点叫醒我 🔊 Tafadhali, niamsha saa moja asubuhi
🔊 请给我钥匙 🔊 Ufunguo tafadhali
🔊 请给我房卡 🔊 Pasi, tafadhali
🔊 有我的留言吗? 🔊 Je, kuna ujumbe wowote kwa ajili yangu?
🔊 有,在这里 🔊 Ndiyo, haya hapa
🔊 没有 🔊 Hapana, hujapokea chochote
🔊 在哪里能兑换零钱? 🔊 Naweza kupata chenji wapi?
🔊 您能给我换些零钱吗? 🔊 Tafadhali, unaweza kunibadilishia fedha?
🔊 您能给我换些零钱吗? 🔊 Tafadhali unaweza kunibadilishia pesa?
🔊 行,您需要换多少? 🔊 Ndiyo, tunaweza kukubadilishia. ungependa kubadilisha kiasi gani?
15 - 找人
汉语 斯瓦希里语
🔊 请问萨拉在吗? 🔊 Samahani, sarah yupo?
🔊 是的,她在 🔊 Ndiyo, yuko hapa
🔊 她出去了 🔊 Hayupo
🔊 她出去了 🔊 Ameondoka
🔊 您可以打她的手机 🔊 Unaweza kumpigia simu yake ya mkononi
🔊 您知道她到哪儿去了吗? 🔊 Unajua ni wapi naweza kumpata?
🔊 您知道她到哪儿去了吗? 🔊 Unajua ni wapi naweza kumpata?
🔊 她在上班 🔊 Yuko kazini
🔊 她在家 🔊 Yuko nyumbani
🔊 请问朱利安在吗? 🔊 Samahani, je, Julien yupo?
🔊 是的,他在 🔊 Ndiyo, yuko hapa
🔊 他出去了 🔊 Hayupo
🔊 您知道他到哪儿去了吗? 🔊 Unajua ni wapi ninaweza kumpata?
🔊 他在上班 🔊 Yuko kazini
🔊 他在家 🔊 Yuko nyumbani kwake
16 - 海滩
汉语 斯瓦希里语
🔊 海滩 🔊 Pwani
🔊 您知道在哪里能买足球吗? 🔊 Je, unajua wapi ninaweza kununua mpira?
🔊 往这个方向走会有一家店 🔊 Kuna duka katika mwelekeo huu
🔊 足球 🔊 Mpira mmoja
🔊 望远镜 🔊 Darubini
🔊 太阳帽 🔊 Kofia ya besiboli
🔊 浴巾 🔊 Taulo moja
🔊 拖鞋 🔊 Viatu vya wazi
🔊 塑料桶 🔊 Ndoo
🔊 防晒霜 🔊 Krimu ya kujikinga na jua
🔊 游泳裤 🔊 Kaptula za kuogelea
🔊 太阳眼镜 🔊 Miwani ya jua
🔊 贝壳类 🔊 Samakigamba
🔊 太阳浴 🔊 Kuoga jua
🔊 阳光明媚 🔊 Yenye jua
🔊 日落 🔊 Machweo ya jua
🔊 遮阳伞 🔊 Mwavuli wa jua
🔊 太阳 🔊 Jua
🔊 影子 🔊 Kivuli
🔊 中暑 🔊 Pigo la jua
🔊 这里游泳危险吗? 🔊 Ni hatari kuogelea hapa?
🔊 不,不危险 🔊 Hapana, si hatari
🔊 对,这里禁止游泳 🔊 Ndiyo, ni marufuku kuogelea hapa
🔊 游泳 🔊 Kuogelea
🔊 游泳 🔊 Uogeleaji
🔊 海浪 🔊 Wimbi
🔊 大海 🔊 Bahari
🔊 沙丘 🔊 Tuta la mchanga
🔊 沙 🔊 Mchanga
🔊 明天天气如何? 🔊 Utabiri wa hali ya hewa wa kesho ni upi?
🔊 天气要变了 🔊 Hali ya hewa itabadilika
🔊 要下雨 🔊 Itanyesha
🔊 要出太阳 🔊 Kutakuwa na jua
🔊 要刮大风 🔊 Kutakuwa na upepo mwingi sana
🔊 游泳衣 🔊 Nguo ya kuogelea
17 - 如有疑问
汉语 斯瓦希里语
🔊 能帮我一下吗? 🔊 Unaweza kunisaidia, tafadhali?
🔊 我迷路了 🔊 Nimepotea
🔊 您需要帮忙吗? 🔊 Unataka nini?
🔊 发生了什么事? 🔊 Nini kilitokea?
🔊 在哪里能找到翻译? 🔊 Wapi naweza kupata mkalimani?
🔊 最近的药房在哪里? 🔊 Wapi kuna duka la dawa lililo karibu zaidi?
🔊 请问您能帮我找个医生吗? 🔊 Unaweza kumwita daktari, tafadhali?
🔊 目前您正接受什么治疗? 🔊 Unafanyiwa matibabu ya aina gani kwa sasa?
🔊 一所医院 🔊 Hospitali moja
🔊 一家药房 🔊 Duka la dawa
🔊 一位医生 🔊 Daktari mmoja
🔊 医疗服务 🔊 Idara ya matibabu
🔊 我的证件丢了 🔊 Nimepoteza karatasi zangu
🔊 我的证件被偷了 🔊 Nimeibiwa hati zangu
🔊 失物招领处 🔊 Ofisi ya vitu vilivyopotea na kupatikana
🔊 医务室 🔊 Kituo cha huduma ya kwanza
🔊 紧急出口 🔊 Njia ya dharura
🔊 警察局 🔊 Polisi
🔊 身份证件 🔊 Hati
🔊 钱 🔊 Pesa
🔊 护照 🔊 Pasipoti
🔊 行李 🔊 Mizigo
🔊 不用了,谢谢你 🔊 Niko sawa, asante
🔊 别烦我! 🔊 Niachie!
🔊 走开! 🔊 Nendeni!